HabariMichezo

Sevilla Mabingwa wa Europa, AS Roma chali

Klabu ya Sevilla imetawazwa kuwa Mabingwa wa Europa League baada ya kuifunga AS Roma kwa mikwaju ya penati 4-1 baada ya sare ya goli 1-1 ndani ya dakika 120.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents