Michezo
Shabiki wa Simba aangua kilio na kuzimia baada ya kipigo cha Azam

SHABIKI WA SIMBA ATOA MACHOZI MAZITO BAADA YA KUPOKEA KIPIGO LEO HII
Mmoja wa mashabiki wa klabu ya Simba ameshindwa kujizuia mara baada ya kuambulia kichapo dhidi ya Azam.
Imeandaliwa na @witnessflavian24 na @johnbosco_mbanga




