MichezoVideos

Shabiki wa Yanga aukubali mziki wa Simba kwa Mkapa (+Video)

Shabiki wa Yanga SC amesema kuwa amekuja Uwanja wa Mkapa kiwasapoti Simba SC kwenye mchezo wa leo dhidi ya Red Arrows. “Nilianza kuupenda mpira alafu ndiyo nikachagua timu,”- Shabiki wa Yanga adai yeye sio kama wale wengine wanaoshabikia timu pinzani za nje bali Taifa kwanza na kwake imekuwa rahisi sababu alianza kuupenda mpira kisha ndiyo akapenda timu.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents