Habari

Shaka amfariji Mama ambaye watoto wake wameachanisha Muhimbili (Video)

Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi @shakazulu36 ametembelea hospitali ya Muhimbili na kumfariji binti Amina Amos mwenye umri wa miaka 18 ambaye watoto wake wawili uliungana na kufanyiwa upasuaji wa kuachanishwa.

Shika amempa pole na kuitaka Wizara ya Maendeleo ya Jamii kuwa karibu na binti katika kipindi ambacho watoto wake wanaendelea na matibabu.

Related Articles

Back to top button