Mahojiano

Shamsa aeleza kuhusu kurudiana na Chid Mapenzi baada ya kufungua duka jirani yake (+ Video)

Bongofive leo tulimtembelea staa wa Bongo movie Shamsa na kupiga naye stori hasa kuhusu maisha yake ya sanaa na biashara zake.

Moja ya kitu tulichomuuliza ni kuhusiana na ukaribu wake na aliyekuwa mume wake Chid Mapenzi, n ahii ni baada ya Shamsa kuhamisha duka lake lilipokuwa mwanzoni na kufungua jirani na Chid Mapenzi wakitenganishwa na mlango.

Lakini pia kuhusu kutumiwa na wasanii wachanga kutengeneza kiki kwa kulipwa pesa.

Haya ndio yalikuwa majibu yake.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents