Bongo MovieBongo5 ExclusivesBurudani

Shamsa Ford atangaza kuja kivingine,atoboa siri ya Filamu mpya (Video)

SHAMSA FORD NA MUMEWE WATANGAZA KUJA KIVINGINE

Muiguzaji Maarufu ajulikanaye kama Shamsa Ford Leo mapema wakiwa na Mumewe kama Wageni rasmi kwenye Mahafari ya Pili ya @berokids_daycare kwa wanafunzi wa Awali amefunguka mengi zaidi kwa mashabiki wake na wadau wanaomfuatilia kwenye Sanaa yake.

Pia ameahidi kuja na Filamu mpya mwakani 2025, Je ungependa kumuona Shamsa Ford kwenye Filamu yake Mpya akiwa na Mumewe??

Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetuwa YouTube Bongo5.

 

Imeandikwa na kuandaliwa @Johnbosco_mbanga

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents