Michezo
Shangwe la Morrison baada kuishinda Yanga katika kesi ya CAS (+Video)
SHANGWE LA WAKILI MSOMI BERNARD MORRISON BAADA YA KUSHINDA KESI YAKE DHIDI YA YANGA SC HUKO CAS
Mzee wa kuwakera @bm3gh anashangili baada ya kushinda kesi yake CAS dhidi ya Yanga SC.
Kwa upande wa mabosi zake Simba SC wameandika maneno machache tu ‘’Wakili Msomi’’
Kuangalia video bofya HAPA