UncategorizedVideos
Sheikh Kipoozeo – Kusengenya kunapunguza mapenzi (Video)

Bongo5 ilifanya mazungumzo na Mwazuoni Sheikh Kipoozeo kuhusu mambo mbalimbali mema kwaajili ya Waislam katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Kuangalia full interview tembelea YouTube ya BongoFive