Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Shetta: Mimi ni baba bora nawalea watoto wangu mwenyewe

@officialshetta aeleza kuhusu malezi wa watoto wake licha ya kuwa ameachana na mama watoto wake Mama Khailla na kuwa sio siri tena na yupo kwenye mahusiano mengine.

Shetta ameongeza kuwa licha ya kuwa ameachana na mama watoto wake lakini linapokuja suala la kulea watoto wapo serious sana na huwa hawataki masikhara.

Shetta aliuliza huenda labda ana mpango wa kuoa mwanamke mwingine ili amsaidie kulea watoto Shetta alisema kuwa yeye mwenyewe analea watoto wake akisaidiana na dada wa kazi hivyo anaamini yeye ni baba bora.

 

Mbali na hilo amezungumzia juu ya ngoma yake mpya #namsosomola ambapo ameweka wazi kuwa @marioo_tz aliiandika ngoma hiyo.

 

Related Articles

Back to top button