Burudani

Shilole alamba dili lingine la mamilioni kutoka kampuni ya HC Pads (Video)

Msanii wa muziki, Shilole Jumatano hii amelamba deal lingine la ubalozi kutoka kampuni ya HC Pads yenye makazi yake jijini Dar es salaam. Muimbaji huyo amesema deal hiyo zinakuja kwake kutokana na namna anavyojishughulisha na kazi zake binafsi nje ya muziki.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents