Shindano la kunyanyua vitu vizito lafunguliwa kumpata ‘Mwamba’ wa Tanzania (+Video)

Idara ya Ubunifu wa Chuo cha Ustawi wa Jamii kwa kushirikiana na kampuni ya DCL imeandaa shindano la ‘Strong Man In Tanzania’ litakaloweza kumpata ‘Mwamba wa Tanzania’ kupitia ubebaji wa vitu vizito.

Shindano hili litahusisha Mabaunsa, Wabeba Rumbesa , Watunisha Misuli pamoja na Wanafunzi wa vyuo, ikiwa na lengo la kuwapa burudani watazamaji, ajira pamoja na kuongeza wigo wa ushiriki katika mashindano ya Olympic.

Related Articles

Back to top button