BurudaniDiamond Platnumz
Show ya Alikiba Nairobi yapagawisha mashabiki – El Mando

Leo kupitia #HotonTheFeed @el_mando_tz amezungumzia Show ya Alikiba aliyoifanya siku ya Jana katika jiji la Nairobi nchini Kenya.
Amepongeza namna Alikiba alivyoi-dedicate Show yake kwa Hayati Raila Odinga na Wakenya kupendezeshwa na tamko hilo.
Mbali na hilo @el_mando_tz ameletw mjadala akiuliza huenda Alikiba ndio akawa msanii wa Afrika Mashariki anayependwa zaidi Kenya??
Sikiliza sababu zake kisha toa maoni yako.
Editor @kashmill_99






