Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond PlatnumzHabari

Show ya Diamond yatikisa AFRONATION Ureno

Katika Tamasha linalofanyika katika fukwe za Praia da Rocha katika mji wa Portimao kusini mwa taifa la Ureno la AFRONATION ambalo linahusisha wasanii wa Kiafrika.

Usiku wa leo alipanda msanii kutoka Tanzania @diamondplatnumz na kufanya maajabu yake katika jukwaa hilo kubwa duniani.

Tamasha hilo linachukua siku tatu ambapo limeanza tarehe 1 july mpaka tarehe 3 july.

Hii ndio ilikuwa Show ya @diamondplatnumz

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents