Michezo

Shuhudia mbwembwe za beki wa Simba, baada ya kufuzu hatua ya fainali Mapinduzi Cup, licha ya kukosa mkwaju wa Penati (+ Video)

Klabu ya Simba imefanikiwa kufuzu hatua ya fainali baada ya ushindi wake kwenye changamoto za mikwaju ya penati, ambayo ilitokea baada ya timu hizo kutoka sare ya bila kufungana katika muda wa kawaida wa dakika 90.

Katika mchezo huo uliozikutanisha timu mbili moja kutoka visiwani Zanzibar Malindi Fc na nyingine kutoka Tanzania bara Simba sport club.

Katika mchezo huo Simba waliibuka videdea baada ya kushinda kwa penati 3-1 ya Malindi na beki wa Simba raia wa Ivory Coast zana coulibaly aliweza kukosa mkwaju wa penati ila sasa baada ya ushindi aliweza kucheza sana na kufurahia ushindi ule.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents