Shuhudia Mzee Kimbwembwe alivyompa zawadi ya Jogoo Rais Magufuli (+Video)

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika kuku aliyepewa na Mkazi wa Somanga akiwa njiani kurejea jijini Dar Es Salaam leo Julai 30, 2020. Wananchi wa Somanga Mkoani Lindi wamshukuru Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuwapa fedha na kujengwa Kituo cha Afya. Mzee Kimbwembwe ampa zawadi ya jogoo.

Related Articles

Back to top button