Shuhudia namna Harmorapa alivyoshindwa katika shindano la Bingwa (+ Video)

Katika shindano la Bingwa ambalo lilikuwa linaruka #Tv3 ambalo lilifanyika kwa takribani siku 76 jumamosi mshindi alipatikana na kuchukua zawadi yake.

Katibu Mkuu wizara ya Sanaa Utamaduni na Michezo Dr. Abbas ndio aliyomtaja mshindi ambaye ni Photojeniki.

Walikuwa washiriki 6 walioingia fainali na walichujwa mpaka kufika wawili na katika wawili hao alikuwa msanii Harmorapa na Photojeniki, ingawa Harmorapa alipata tuzo pia.

Related Articles

Back to top button