FahamuHabari

Shule 10 zilizofanya vizuri kidato cha sita 2022

Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Athumani Amasi, amesema kwamba katika matokeo ya mtihani wa kidato cha sita yaliyotolewa hii leo hakuna mtahiniwa aliyefanya vibaya kwani watahiniwa wote wamefaulu kwa asilimia 99.87.

Huu ni mchanganuo wa Shule 10 zilizofanya vizuri kidato cha sita, 2022
1 Kemebos, Kagera [Shule binafsi] 2 Kisimiri, Arusha [Shule ya Serikali] 3 Tabora Boys, Tabora [Shule ya Serikali] 4 Tabora Girls, Tabora [Shule ya Serikali] 5 Ahmes, Pwani [Shule binafsi] 6 Dareda, Manyara [Shule ya Serikali] 7 Nyaishozi, Kagera [Shule binafsi] 8 Mzumbe, Morogoro [Shule ya Serikali] 9 Mkindi,Tanga [Shule ya Serikali] 10 Ziba,Tabora [Shule ya Serikali].

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents