Burudani

Sifa ya Private Jet ya Diamond (Video)

“Inaweza kusafiri Dar mpaka India”

Baada ya msanii ghali zaidi nchini Tanzania @diamondplatnumz kutangaza kukununua ndege, tumezungumza na @viiiaviation ambao wamemsaidia msanii huyo kufanya manunuzi yz ndege hiyo kwa kuwa wana uzoefu mkubwa.

Bwana Yusuph Kazi ambaye ni CEO wa kampuni hiyo amedai ndege ya Diamond ni kubwa na ina uwezo wa kusafiri masafa marefu bila kupumzika.

Pia amedai ndege hiyo pia unaweza kutumika katika dharura za matibabu kwa kuwa zina mfumo huo.

Related Articles

Back to top button