Sifanyi show chini ya milioni 20 kwa Tanzania – Marioo (+Video)

MARIOO: SIFANYI SHOW CHINI YA MILIONI 20/ SIMBA DAY 'NIMEUA'

Msanii wa Bongo Fleva @marioo_tz amesema kuwa kwa sasa hafanyi show chini ya tsh milioni 20 kutokana na soko lake la music kukuwa. Nyota huyo ambaye hapo jana alifanya balaa kubwa pale uwanja wa Mkapa na kuwakonga nyoyo mashabiki wa @simbasctanzania amesema anaamini show yake ya #SimbaDay ‘Ameua zaidi’ kwa maana amefanya vizuri.

Related Articles

Back to top button