Michezo
Sijaipata Simba ninayoitaka – Fadlu Davis

“Bado sijaipata ile Simba ambayo mimi nataka iwe,licha tunacheza vizuri tunashambulia vizuri lakini bado kiufundi hatujasimama vizuri jambo ambalo siwezi kulielezea hapa “Tutazidi kujiimarisha vizuri kwenye Uwanja wa mazoezi naamini tunahitaji muda kuipata Simba bora,” Fadlu