Simba dhidi ya AS Vita na point 3 muhimu – Uchambuzi na Abbas Pira (+Video)

Mechi ya mwisho kati ya Simba dhidi ya AS Vita Club ilimalizika kwa ushindi wa 2-1 Mnyama akafanikiwa kufuzu kuingia hatua ya Robo Fainali ya CAF Champions League mchezo uliyopigwa kwenya Uwanja wa Benjamin Mkapa. Je safari hii Simba itafanikiwa katika hilo, @abbas__pira anazungumzia ubora wa vikosi vyote viwili kabla ya mtanange huo.

Related Articles

Back to top button