MichezoVideos

Simba haiwezi kujiandaa kwaajili ya Yanga, labda dhidi ya Orlando Pirates (+Video)

Bosi wa kitengo cha Habari ndani ya Miamba ya soka Afrika Mashariki na Kati Simba SC, Ahmed Ally amejinasibu kuwa Simba haiwezi kujiandaa kwaajili ya Yanga mechi ya Nusu Fainali ya FA huku akihoji ijiandae kwaajili ya Yanga ili ikawafanye kitu gani Uwanjani, bali wao hujiandaa kwa wakubwa wenzao kama Al Ahly, Orlando na kadhalika.

Related Articles

Back to top button