Michezo
Simba kukimbilia Rwanda michuano ya CAF

Baada ya Caf kuufungia uwanja wa Benjamini Mkapa, klabu ya Simba SC wamependekeza uwania wa
Amahoro Stadium uliopo Kigali, Rwanda wanaona ni karibu na patafikika kwa urahisi kwa mashabiki wengi wakiamini Rwanda pia ni sehemu ambayo kuna mashabiki wengi wa Simba Sports Club.