
Simba SC inatarajia kuondoka nchini kesho Februari 9, 2023 majira ya saa 10 alfajiri kuelekea Guinea tayari kwa mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Horoya utakaopigiwa Jumamosi saa 1:00 usiku.
Kikosi cha @simbasctanzania kitaondoka na msafara wa watu 45 ambapo wachezaji wakiwa w25 benchi la ufundi pamoja na viongozi.
Miamba hiyo ya soka Afrika itasafiri na ndege ya Shirika la Ndege ya Ethiopia (Ethiopia Airlines) na itapitia nchini Ethiopia na kubadili ndege mpaka Guinea ambapo inategemea kufika kesho jioni.
Mnayam atakapofika nchini Guinea, wachezaji watafanya mazoezi ya utimamu wa mwili ili kuondoa wa safari.
Credit by @fumo255