Michezo

Simba kumalizana na Kitasa cha Mamelodi Sundowns

Simba wanawinda Saini ya mlinzi wa klabu ya Mamelodi Sundowns raia wa Kenya Brian Onyango (29) mchezaji huyo amekuwa na ufinyu wa kupata nafasi katika kikosi cha kwanza cha Mamelodi Sundowns.

Kama maongezi baina ya Onyango na Uongozi wa klabu ya Simba yataenda sawa basi atakuja kukipiga katika klabu ya Wekundu wa Msimbazi msimu ujao.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents