Je, Simba wana ubavu wa Mkwanja wa kumsajili ‘Goal Machine’, Fiston Kalala Mayele.?
Mchambuzi wa soka kutoka Azam Tv @giftmacha_official anapiga stori na @fumo255 kuhusu tetesi za usajili Ligi Kuu.