Michezo
Simba kuwafuata Coastal Union Ijumaa

Updates Kikosi cha Simba Sc kinatarajia kuondoka jijini Dar Es Salaam siku ya Ijumaa Feb 28 kuelekea Arusha kwaajili ya mechi yao ijayo ya Ligi Kuu ya Nbc dhidi ya Coastal Union. Mechi itapigwa Jumamosi Machi 1 Mnyama anaenda siku moja kabla ya mechi.