Michezo
Simba kwa Mkapa ndio basi tena

Updates 👇
➡️ Simba Sc 🇹🇿 itacheza mechi yake ya kwanza ya nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Stellenbosch 🇿🇦 katika uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar Aprili 20.
✅ Kuanzia kesho Jumatatu, hamasa zitaanza kufanyika Zanzibar tayari kwa mechi hiyo.