Michezo

Simba na Vunjabei wasaini mkataba wa Bilioni 2 kwaajili ya jezi (+Video)

Klabu ya @simbasctanzania yaingia mkataba wa Bilioni mbili na Vunja Bei kwaajili ya kufanya biashara ya kuuza jezi ya timu hiyo. Vunja Bei sasa watakuwa rasmi wauzaji wa jezi kwa timu zake zote. Miwani, Kasha za Simu, Kofia, Jezi na bidhaa nyingine nyingi zenye nembo ya Simba SC zitaanza kutengenezwa na Vunja Bei na kuuzwa rasmi kwa kupitia mkataba huo mnono wa Bilioni Mbili.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents