Michezo
Simba na Yanga kurudi Azam Complex

Updates 👇
➡️ Mechi ya hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho la CRDB kati ya Simba dhidi ya BigMan Fc itapigwa Machi 27 huku ya Yanga dhidi ya Songea Utd itapigwa Machi 29.
✅ Mechi zote mbili zitapigwa KMC Complex saa 10 jioni.
⏳ Nani ataenda Robo Fainali?