Michezo

Simba Queens washinda ubingwa wa ligi 2020/21

Timu ya Simba Queens imefanikiwa kutetea Ubingwa wake kwa msimu huu wa 2020/21 baada ya kuifunga Baobab Queens kwa goli 1 – 0 mchezo uliyopigwa hapo jana.

Kwa matokeo hayo Simba imechukua Ubingwa huo kwa tofauti ya pointi moja tu nyuma ya mshindi wa pili Yanga Princess ambayo ilikuwa na alama 53 huku vinara Simba wakiwa na 54.

Goli pekee la Asha Djafar likaifanya timu hiyo kutawazwa kuwa mabingwa kwa msimu huu wa mwaka 2020/21.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents