Michezo

Simba Queens yashusha mafuriko ya magoli kwa watani Yanga Princess 

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu sika ya Wanawake Nchini Simba Queens wamefanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao 4 – 1 dhidi ya watani zao wa jadi Yanga Princess kwenye mchezo uliyopigwa leo Januari 8, 2022 katika dimba la Benjamin Mkapa.

Related Articles

Back to top button