Simba SC 1 – 0 Al Ahly goli la Miquissone, mpira bado unaendelea

Mchezo wa klabu bingwa Afrika Simba dhidi ya Al Ahly unaendelea katika kipindi cha pili ambapo mpaka sasa Wanamsimbazi hao wanaongoza kwa goli moja ililofungwa na Luis Jose Miquissone dakika ya 30 kipindi cha kwanza.

Simba 1-0 Al Ahly.

Al Merrikh 1-1 AS Vita.

Mpaka sasa mchezo huo ambao unachezwa uwanja wa mkapa ni dakika ya 61.

#TotalCAFCL #SimbaSC #AlAhly #SimbaAlAhly #CAFChampionsLeague #CCL #CAFCL #SSC #TotalWar #PointOfNoReturn @alahlyegypt @simbasctanzania @hajismanara

Related Articles

Back to top button
Close