HabariMichezo

Simba SC 6-0 Al-Okhdood Club

Klabu ya Simba imefanikiwa kuifunga timu ya Al-Okhdood Club ya Nchini Misri kwa jumla ya magoli 6-0 mchezo iliyopigwa leo Julai 23.

Simba imeondoka na ushindi huo mnono ukiwa ni mchezo wa kirafiki kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Hii ni mechi ya pili Simba SC inapata ushindi ikiwa Pre Season nchini Misri huku Mshambuliaji wake mpya Moses Phiri akitupia michezo yote miwili.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents