Klabu ya Simba imewakaribisha Al Hilal SC ya Sudan kwaajili ya kuweka kambi yao hapa nchini kwaajili ya kujianda na michuano ya Afrika. Wakiwa Tanzania Al Hilal watacheza michezo mitatu ambayo ni dhidi ya Azam FC, Namungo na Simba SC.
Join our mailing list to get the latest news!
Related Articles
Check Also
Close