Michezo

Simba Vs Mtibwa Sugar sio saa 1:00 usiku tena

Kwa mujibu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara mchezo wa Simba SC dhidi ya Mtibwa Sugar utapigwa saa 10: 00 Alasiri Uwanja wa Mkapa jijini Dar Es Salaam.

Kabla ya mabadiliko hayo Simba SC dhidi ya Mtibwa Sugar zilipangwa kucheza majira ya saa 1:00 usiku hapo kesho Aprili 14, 2021.

Simba itashuka uwanja wa Mkapa ikiwa yamoto kweli kweli hasa kutokana na mafanikio makubwa iliyopata kutokana na Michuano ya Klabu Bingwa Afrika.

Simba ipo kwenye nafasi ya pili katika msimamo kwakuwa na alama 47, Mtibwa Sugar ya 15 na pointi zao 24 huku vinara wa Ligi Yanga ikiongoza kwa alama 51.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents