Simba vs Yanga: Waamuzi wafundwa (+Video)

Homa ya mtanange wa Watani wa Jadi Simba dhidi ya Yanga inazidi kupanda huku wasimamizi wenyedhamana ya kusimamia Mpira wa Miguu nchini Tanzania TFF, wakifafanua waamuzi wa nne waliyotangazwa leo kusimamia mchezo huo Mei 8, 2021 na majukumu yao siku hiyo.

Video bofya HAPA

Related Articles

Back to top button