Simba waipongeza Yanga kwa uwezo wao walioonesha Ligi ya Mabingwa Afrika (+Video)

Klabu ya Simba imewapongeza watani wao wa jadi Yanga SC kwa uwezo walioonesha kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na kuwakumbusha tu kuwa hiyo ndiyo michuano ya klabu bingwa, hayo yamesemwa na kaimu afisa habari wa Simba SC, Ezekiel Kamwaga alipokuwa akiuzungumzia mchezo wao wa Ngao ya Jamii dhidi ya Watani wao YoungAfricans Septemba 25, 2021

Kuangalia video bofya HAPA

 

Related Articles

Back to top button