Michezo
Simba wajifua Mo Arena kuelekea Dabi

Updates 👇
➡️ Muda huu saa moja usiku, kikosi cha Yanga Sc kipo Benjamin Mkapa 🏟️ kwenye maandalizi dhidi ya Simba Sc siku ya kesho.
❌ Simba Sc hawajafanya mazoezi ya mwisho ndani ya uwanja huo, na muda wao kikanuni ilikuwa ni saa 11 jioni.