Michezo
Simba wamkomalia Lameck Lawi TFF
Shauri la Simba Sc kuhusu uhamisho wa Lameck Lawi kutoka Coastal Union linatarajiwa kusikilizwa hii leo Jumanne Julai 16, 2024 katika kikao cha Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).