Michezo
Simba waondoka na tsh Milioni 25 Mapinduzi Cup 2022
Kwa mujibu wa utaratibu wa tuzo za Michuano ya Mapinduzi Cup 2022 bingwa anaondoka na kitita kinono cha Tsh milioni 25.
Mshindi wa pili Azam FC wamekabidhiwa kitita cha shilingi milioni 15.