Michezo
Simba wapewa Pilato huyu dhidi ya Stellenbosch

Updates
Jean Jacques Ndala V
ndiye atakayechezesha mechi ya
nusu fainali CAF CC kati ya Simba
VS
Stellenbosch >
Aprili 20
Ndala aliwahi kuchezesha:
Jwaneng 0-2 Simba Simba 1-0 Berkane
Soura 2-0 Simba
Simba 1-1 Ahly (AFL)
Pia alichezesha fainali (Yanga 1-2 USMA)