Uncategorized
Simba washindwa kutamba mbele ya Polisi Tanzania

Timu ya Polisi Tanzania imeweza kugawana pointi na Timu ya Simba ambayo kwa sasa inashika nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu.
Katika kipindi cha kwanza, Polisi Tanzania waliweza kutawala mchezo kwenye kila idara.