Michezo

Simba watoa pole kwa shabiki yao aliyejinyonga kabla ya mchezo wao dhidi ya Mbeya City

Kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii klabu hiyo ya Simba wamepost barua inayoonyesha kusikitishwa kwa tukio hilo lililotokea kabla ya mchezo wa Simba dhidi ya Mbeya City ambapo Simba walipoteza kwa goli 1 -0.

Related Articles

Back to top button