HabariMichezo

Simba watua Dar wakitoka Misri

Kikosi cha @simbasctanzania kimewasili leo Agosti 4, 2022 kikitoka Ismailia nchini Misri ambapo wababe hao wa soka la Afrika Mashariki na Kati walikuwa wamekita kambi yao kwa maana ya pre season kujiandaa na msimu mpya.

Miamba hiyo itakuwa na mchezo wa kirafiki 8/08/2022 siku ya kilele cha Simba Day kisha kuwavaa watani @yangasc Agosti 13, 2022 mchezo wa Ngao ya Jamii.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents