Michezo

Simba yaandika rekodi mpya Afrika

Tangu Simba icheze fainali mwaka 1993 katika Kombe la CAF ilikuwa haijavuka robo fainali ya michuano ya CAF kwani mara sita iliishia robo fainali, ikiwamo ya 1994, kabla ya mfumo kubadilishwa ambapo ndani ya misimu sita iliyopita iliishia robo fainali michuano ya CAF ambayo ni Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho katika msimu wa 2018-2019, 2020- 2021, 2021-2022, 2022-2023 na 2023-2024.

Huu ni msimu wa sita kati ya saba Simba imekuwa ikifuzu robo fainali katika ushiriki wa michuano ya CAF tangu 2018, ikiwemo mbili za Shirikisho Afrika msimu wa 2021-2022 na 2024-2025 na nne ya Ligi ya Mabingwa, 2018-2019, 2020- 2021, 2022-2023 na 2023- 2024. Safari hii imeweka rekodi mpya.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents