Michezo

Simba yamrudisha Chama kutoka RS Berkane ya Morocco

Klabu ya Simba kupitia mitandao yao ya kijamii wametangaza kumrejesha kundini aliyewahi kuwa mchezaji wao Clatous Chama ambaye alisajiliwa na klabu ya RS Berkane kutoka nchini Morocco.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents