Kwa mujibu wa mchambuzi wa Kabumbu nchini @allimzuri20 kupitia #B5Sports ya Bongo5 amedai kuwa Klabu ya @yangasc ina mechi ngumu zaidi ukilinganisha na watani zao @simbasctanzania wikiend hii pale kwa Mkapa.
Mzuri ameyasema hayo huku akitoa tathimini yake kwa baadhi ya mechi za Kimataifa ambazo Wananchi Yanga wamecheza na matokeo waliyopata.