Michezo

Simba yaondoka na tuzo ya mchezaji, golikipa na mfungaji bora Mapinduzi Cup 2022

Klabu ya Simba mbali na Ubingwa wa Michuano ya Mapinduzi Cup 2022 ambao wamekusanya kitita cha milioni 25 lakini pia wachezaji wake, Henock Inonga- Mchezaji Bora Mechi ya Fainali.

Sakho akiwa Mchezaji Bora wa Mashindano yote. Meddie Kagere – Mfungaji Bora wa Mapinduzi Cup 2022 na Manula – Golikipa Bora wa Mapinduzi Cup 2022

Simba SC imechukua Kombe la Mapinduzi Cup mara nne (4).

Related Articles

Back to top button