Michezo
Simba yapewa ndege Kuelekea Fainali Morocco

Updates 👇
➡️ Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa ndege kwa klabu ya Simba Sc itakayoelekea Morocco kuvaana na RS Berkane.
✅ Berkane wataikaribisha Simba kwenye mechi ya Fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika Mei 17.